MECK KHALFAN:MTANZANIA ALIYEBUNI CHARGER ZA PUKU
PUKU ni mnyama jamii ya swala jina ambalo limetumiwa na kijana wa kitanzania anae ishi marekani.Akiwa amesomea mambo ya komputa alibuni charger ya simu ambayo inamuonekano mzuri na inatumika duniani pote kama portable charger.Kama kijana tuna kila namna ya kuhangaika ili kujiajiri na kujiongezea kipato.