Widgets

KITABU CHA SHERIA KWA LUGHA NYEPESI YA KISWAHILI

Monday, September 15, 2014 Unknown 0 Comments

HAKI KATI YA MME NA MKE, KUGOMBANIA MTOTO N.K




KUJUA haki kati ya mme na mke, haki ya mjane katika mirathi, wajibu wa baba wa nyumba, wosia sahihi kisheria, ugawaji mirathi kisheria, haki kwa mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa/mtoto wa kambo, na mambo mengi yanayofanana na hayo tafuta kitabu hicho hapo juu. Kimeshasambazwa miji yote mikuu Tanzania. wasiliana nasi utuambie uko wapi, na kama unahitaji kitabu hiki tutakuelekeza namna ya kukipata.piga 0767 154141. karibuni sana.kupata vitabu vingine vingi vya kisheria kwa lugha nyepesi ya kiswahili tembelea http://www.sheriakwakiswahili.blogspot.com/