Widgets

VACCANCY AT COMMISSION FOR MEDIATION AND ARBITRATION.....ETC

Monday, September 08, 2014 Unknown 0 Comments

COMMISSION FOR MEDIATION AND ARBITRATION (CMA).
TUME YA USURUHISHI NA UAMUZI.
EMPLOYMENT OPPORTUNITY.
The commussion for mediation and arbitration (CMA) is an independent government institution established under section 12 of the labour institutions act no.7 of 2004( LIA NO. 7 OF 2004.)

The commission for mediation and Arbitration invites application from suitably qualified Tanzanian to fill vacancies in the commission for mediation and Arbitration headquarters and up country office. the commussion for mediation and arbitratio is an opportunity employer. women and all who are qualified are highly encouraged to apply.



1. PERSONAL SECRETARY GRADE II- 12 POST.
A. DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Type letter and other documents
ii. Receive and direct visitors to the relevant officers
iii. Keep various records and appointments of immediate supervisors.
iv. Facilitate meeting preparations.
v. Helps supervision to official travels and logistics.
vi. Make management for official travels and logistics.
vii. Keep file movement registers
viii. Send mail and faxes.

B. Qualification.
i. Holder of ordinary or advanced certificate of secondary school.
ii. Education with stage III secretarial courses certificate.
iii. Older basic computer certificate in the fallowing window, Microsoft office, internet, email and publishers.
iv. Should have 80 w.p.m short hand in English and Kiswahili.,50 wp.m typing tabulation and manuscript stage III secretarial duties and office practice stage II
v. Should be a Tanzanian citizen.
vi. should have a good displine and to work anywhere in Tanzania.

C. REMUNERATION
Remuneration will be according to the government scale TGS B and other terms and condition of services.
D. PERSONAL ATTRIBUTES
i. Ability to comply rules regulations and code of ethics.
ii. Ability to interpret and observe rules and regurations.

E. MODE OF APPLICATIONS.
All application be in own hand writing or typed written should be enclose with
i. Detailed curriculum vitae (VC)
ii. Copies of secondary school form iv national secondary education certificates.
iii. Professional certificate a copy of diploma and academic transcript.
iv. Two (2) recent passport size photographs, reliable contract address, email and telephone numbers should be addressed to:
Director,
Commission for mediation and artitration
P.O.BOX 79590
DAR ES SALAAM.
Closing date : two week from the date of first announcement.
IMPORTANT NOTE:
i. Testimonial for an applicant to be considered for selection and interview are:-
ii. Employed applicants are required to Chanel their application letter through their employers.
iii. Cop of diploma and certificate and transcript if any
iv. Copy of certificate of birth.
Source: Daily News of 5th September 2014.
==========

SHIRIKA LA MASOKO KARIAKOO
KARIAKOO MARKERTS COPERATION
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Shirika la masoko kariakoo ni shirika la umma lililoanzishwa kwa kwa mujibu wa sharia ya Bunge na. 32 ya mwaka 1974 na kupewa majukumu ya kusimamamia na kuendesha soko kuu la kariakoo pamoja na masoko mengine yatakayokuwa chini ya usimamizi wa shirika pia kujenga masoko mengine mapya katika jiji la Dar es salaam na kusimamia uendeshaji wake linakaribisha maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo.


1. MSAIDIZI WA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA KOMPUTA.
SIFA : Awe na elimu ya kidato chasita pamoja na stashahada ya kompyuta kutoka katika chuo kinachotamburika kisheria
Majukumu mhimu
• Kuendesha server za mtandao wa kompyuta.
• Kusajili watumiaji wapya kwenye mtandao wa kompyuta na kutafsiri kiwango kiwango cha matumizi.
• Kutoa mafunzo kwa watumiaji wapya wa kompyuta kutunza tovuti ya shirika.
• Kutoa vigezo sahihi wakati wa ununuzi wa vifaa vya kompyuta na mfumo wake.
• Kutafuta sababu ya mifumo kushindwa kufanya kutoa ushauri sahihi.
• Kufanya shughuri zozote za kikazi atakazopangiwa na mkuu wake.

Masharti ya jumla.
Mwombaji sharti awe raia wa Tanzania.
Barua ya maombi ikiambatanishwa na wasifu biafsi pamoja na nakala ya vyeti vya kidato cha nee au sita mafunzo ya chezi cha kuzaliwa nakal moja kwa njia ya kawaida .Hard copy na nyingine kwa njia ya mtandao soft copy itumwe kwa undersonshaka@ yahoo.com
MENEJA MKUU,
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO,
S.L.P 15789
DAR ES SALAAM.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI TAREHE 30 SEPTEMBA 2014.
PIA TANZAZO HILI LIPO GAZETI LA MWANANCHI 3 SEPTEMBA 2014YA TAR
=======


2. KATIBU MUTASI DARAJA LA II

Sifa: awe na elimu ya kiwango cha stashahada ya uwazili kutoka katika chuo kinachotambulika kisheria.

MAJUKUMU YA KAZI:
• Kufanya kuchapa barua mbalimbali za kikazi.
• Kupokea barua na kuziwasilisha sehemu husika.
• Kupokea kuwasikiliza na kuwaelekeza wageni wa shirika
• Kufanya kazi zozote atakapopangiwa na mkuu wake.

Masharti ya jumla.
Mwombaji sharti awe raia wa Tanzania.
Barua ya maombi ikiambatanishwa na wasifu biafsi pamoja na nakala ya vyeti vya kidato cha nee au sita mafunzo ya chezi cha kuzaliwa nakal moja kwa njia ya kawaida .Hard copy na nyingine kwa njia ya mtandao soft copy itumwe kwa undersonshaka@ yahoo.com
MENEJA MKUU,
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO,
S.L.P 15789
DAR ES SALAAM.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI TAREHE 30 SEPTEMBA 2014.
PIA TANZAZO HILI LIPO GAZETI LA MWANANCHI 3 SEPTEMBA 2014YA TAR
=======


3. MENEJA WA AFYA NA USAFI
SIFA: awe na shahada ya afya ya umma sayansi ya mazingira au sifa zozote zinazolingana na hizo kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali pamoja na uzoefu wa kazi usiopungua miaka sita(6)
MAJUKUMU YA KAZI:
• Kuongoza idara ya afya na usimamizi.
• Kubuni , kupendekeza na kutekeleza sera ambazo ambazo zitahakikisha kuwa viwango vya ubora wa bidhaa zinazotoshereza viwango vinavyohitajika.
• Kubuni mipango na kutoa maelekezo ambayo yatahakikisha kuwa soko litakuwa safi.
• Kubuni mipango ya kuweka soko katika hali ya usafi ili kuepuka madhara ya yanayoweza kuwapata watumiaji wa bidhaa za soko la kariakoo.
• Kumshauri manager mkuu wa mambo yote yanayohusu mambo yote ya afya na usafi.
• Kusimamia kazi zote zinazohusu na huduma ya afya na umma.
• Kusimamia ubora wa bidhaa zinazouzwa na sokoni.
• Kusimamia usafi wa soko na mazingira yake.
• Kuandaa bajeti ya idara.
• Kaufanya kazi zozote kama atakavyoelekezwa na meneja mkuu.

Masharti ya jumla.
Mwombaji sharti awe raia wa Tanzania.
Barua ya maombi ikiambatanishwa na wasifu biafsi pamoja na nakala ya vyeti vya kidato cha nee au sita mafunzo ya chezi cha kuzaliwa nakal moja kwa njia ya kawaida .Hard copy na nyingine kwa njia ya mtandao soft copy itumwe kwa undersonshaka@ yahoo.com
MENEJA MKUU,
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO,
S.L.P 15789
DAR ES SALAAM.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI TAREHE 30 SEPTEMBA 2014.
PIA TANZAZO HILI LIPO GAZETI LA MWANANCHI 3 SEPTEMBA 2014YA TAR
=======

4. AFISA UGAVI MWANDAMIZI
SIFA: Awe na shahada au stashahada ya juu katika fani ya manunuzi na ugavi ‘Materials management’ usimamizi wa biashara ‘Business administration’ AU sifa nyingine zinazolingana na hizo kutoka chuo kinachotambuliwa kisheria, awe pia na cheti cha “CPSP” na amesajiliwa na PSPTB na uzoefu wa kazi usiopungua miaka maitano(5)
SIFA ZA KUINGILIA WALIOMO KAZINI
Kupandishwa cheo afisa manunuzi mwandamizi aliyefanya kazi kwa ufanisi katika cheo hicho kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) awe pia na shahada ya uzamili.

KAZI N MAJUKUMU.
• Kutambua mahitaji ya bidhaa na huduma mbalimbali za shirika na kufanya manunuzi kwa wakati muafaka na kwa gharama nafuu kwa mujibu wa sharia ya manunuzi ya umma ya mwaka 2011 na kununua zake za mwak 2013.
• Kuwashauri wa kuu wa idara na kuhusu vitengo kuhusu kanuni na taratibu sahihi za za kufuata wakati wa kufanya manunuzi ya huduma au bidhaa kwa ajili ya matumizi ya shirika.
• Kuhakikisha kuwa nyaraka zote za manunuzi aau uuzaji zinapatikana baada ya kuratibu zoezi la udhamini na kuwataarifu wazabuni ipasavyo.
• Kuhakikisha kuwa nyaraka zote za manunuzi zu uuzaji zinazotuzwa vizuri kwa ajili ya kumbukumbu pindi zinazohitajika.
• Kufanya kazi zozote atakazopangiwa ba mkuu wa kitengo.

Masharti ya jumla.
Mwombaji sharti awe raia wa Tanzania.
Barua ya maombi ikiambatanishwa na wasifu biafsi pamoja na nakala ya vyeti vya kidato cha nee au sita mafunzo ya chezi cha kuzaliwa nakal moja kwa njia ya kawaida .Hard copy na nyingine kwa njia ya mtandao soft copy itumwe kwa undersonshaka@ yahoo.com
MENEJA MKUU,
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO,
S.L.P 15789
DAR ES SALAAM.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI TAREHE 30 SEPTEMBA 2014.
PIA TANZAZO HILI LIPO GAZETI LA MWANANCHI 3 SEPTEMBA 2014YA TAR
=======

5. MWANASHERIA MWANDAMIZI.
SIFA: Awe na shahada ya sharia kutoka chuo kikuu kinachotambuliwa na serikali na uzoefu wa kazi usiopungua miaka sta(6) awe pia na amesajiliwa na wakili wa mahakama kuu Tanzania.
KAZI NA MAJUKUMU.
• Kutoa ushauri katika mambo ya kisheria yahusuyo shirika la masoko ya kariakoo.
• Kumshauri manaja mkuu na idara ya wakuu wa vitengo na madhara ya kisheria yanayoonekana kujitokeza yanaonekana kujitokeza.
• Kuandaa nyaraka zote za kazi kisheri kwa ajiri ya kusaidia kufikia malengo ya shirika la masoko ya kariakoo.
• Kushauriana na meneja rasilimali watu na utawala wakati wa kutetea wa kutetea maslahi ya shirika la masoko ya kariakoo.
• Kufanya ghuguli yeyote atkavyopangiwa.


Masharti ya jumla.
Mwombaji sharti awe raia wa Tanzania.
Barua ya maombi ikiambatanishwa na wasifu biafsi pamoja na nakala ya vyeti vya kidato cha nee au sita mafunzo ya chezi cha kuzaliwa nakal moja kwa njia ya kawaida .Hard copy na nyingine kwa njia ya mtandao soft copy itumwe kwa undersonshaka@ yahoo.com
MENEJA MKUU,
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO,
S.L.P 15789
DAR ES SALAAM.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI TAREHE 30 SEPTEMBA 2014.
PIA TANZAZO HILI LIPO GAZETI LA MWANANCHI 3 SEPTEMBA 2014YA TAR